Home Uncategorized TAARAB NCHINI YAPATWA NA PIGO, MAMA MZANZI WA ISHA MASHAUZI AFARIKI DUNIA

TAARAB NCHINI YAPATWA NA PIGO, MAMA MZANZI WA ISHA MASHAUZI AFARIKI DUNIA


Muimbaji wa taarab nchini Bi. Rukia Juma, ambaye pia ni mama mzazi wa msanii Isha Mashauzi, amefariki dunia leo Mei 29, 2019 akiwa njiani kuelekea hospitali ya taifa Muhimbili kwaajili ya matibabu.

SOMA NA HII  MWAKINYO NA MUARGENTINA LEO MWISHO WA UBISHI, TAMBO KIBAO