Home Uncategorized BREAKING: BEKI MWILI JUMBA AMLIZANA NA SIMBA LEO MIAKA MIWILI

BREAKING: BEKI MWILI JUMBA AMLIZANA NA SIMBA LEO MIAKA MIWILI

MCHEZAJI wa Singida United, Keneddy Juma ”mwili jumba’ leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.

Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.

 

 

SOMA NA HII  DILUNGA AYAKUMBUKA MABAO YAKE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here