Home Uncategorized EXCLUSIVE!! YANGA YANASA KIFAA KUTOKA SIMBA

EXCLUSIVE!! YANGA YANASA KIFAA KUTOKA SIMBA


Klabu ya Yanga Princess imekamilisha usajili wa mchezaji Asha Abdul Malamwa kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili.


Asha amejiunga na Yanga Princess akitokea katika kikosi cha Simba Queens.

Mkataba wa Asha na Yanga Princess utadumu mpaka mwaka 2021.

SOMA NA HII  SIMBA YAKUBALI UWEZO WA KIUNGO WA YANGA ALIYEWAVURUGA MACHI 8 UWANJA WA TAIFA