Nani kutangazwa leo kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi cha Simba kwaajili ya msimu ujao.
Kumbuka baada ya Bodi ya Ligi kutoa majina ya mwisho tutarekebisha pia
The post Hivi Sasa ni saa Saba Kamili! appeared first on Kandanda.