MANCHESTER United imekamilisha dili la kinda Aaron Wan-Bissaka kwa dau la Euro millioni 50.
Kinda huyo wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 21 amesaini dili hilo na atalipwa mshahara wa Euro 80,000 kwa wiki.
Amesaini kandarasi ya miaka mitano, mkataba wake utameguka 2024 na kuna kipengele cha kuongeza muda na mkwanja iwapo ataonyesha makeke kwa kutimiza vipengele vya kwenye mkataba vinavyozungumzia uwezo wake uwanjani.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.