Home Uncategorized KIUNGO MBAO AWAKATAA YANGA MCHANA KWEUPEE!! – VIDEO

KIUNGO MBAO AWAKATAA YANGA MCHANA KWEUPEE!! – VIDEO


KIPINDI cha Spoti Hausi kimeendelea tena hewani ambapo wachambuzi wako wamekuletea mambo mengi, lakini kubwa ni uchambuzi wa kiungo wa Mbao aliyetajwa kuletwa Dar na Yanga.

SOMA NA HII  GSM NA YANGA SASA WAJA NA STAILI MPYA YA USAJILI