Home Uncategorized KIUNGO TEGEMO WA KIMATAIFA SIMBA ATANGAZA KUPOKEA OFA TATU ZA NJE –...

KIUNGO TEGEMO WA KIMATAIFA SIMBA ATANGAZA KUPOKEA OFA TATU ZA NJE – VIDEO


Kiungo aliyerejea kwenye fomu yake na kuwa tegemo ndani ya kikosi cha Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amezungumzia ofa alizozipata mpaka sasa nje ya timu yake.

SOMA NA HII  RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA HII HAPA