Basi aina ya Coaster lililokua kwenye msafara wa kuelekea Nandy Festival Sumbawanga limepinduka Mikumi usiku wa kuamkia leo.
Msafara huo ulikuwa na Wasanii Juma Nature, Whozu, Stamina,Nandy,Barnaba, Roma, Billnass, Ice Boy na Willy Paul.
Maneja wa Nandy amesema Basi lililopata ajali kwenye msafara kuelekea Nandy Festival Sumbawanga lilikua limebeba Wapiga Band na Dancers na sio Wasanii, mpaka sasa Majeruhi wako Hospitalini Mikumi, hakuna kifo na safari inatarajiwa kuendelea asubuhi ya leo.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.