Home Uncategorized NAMNA HAJI MANARA ALIVYOWAONEA GERE YANGA KISA ENEO – VIDEO

NAMNA HAJI MANARA ALIVYOWAONEA GERE YANGA KISA ENEO – VIDEO


Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja maeneo ya Kigamboni jijini Dar. 

Makonda alitoa ahadi hiyo katika hafla ya Kubwa Kuliko ambapo Yanga iliendesha harambee ya kuichangia klabu yao. 

JUNI 20, 2019 baada ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kumuomba Makonda na wao awapatie uwanja kama alivyofanya kwa Yanga. 

Manara aliyasema hayo jana wakati akitoa neno la shukrani kwenye hafla ya kuichangia Taifa Stars iliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Dar.  #HajiManara

Manara alisema kutokana na Simba kufanya vizuri msimu uliopita ikiwemo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika basi na wao wafikiriwe katika kupongezwa. “Hata sisi tuna nyongo na wivu, wenzetu kule umewapa ekari saba, sisi tunakuomba hata tatu, hivi kweli timu imefika hadi robo fainali unatuacha hivihivi,” alisema Manara.

SOMA NA HII  MO AJIBU MAPIGO YA GSM