Home Uncategorized NYOTA MPYA KMC AIYEE AKIWASHA

NYOTA MPYA KMC AIYEE AKIWASHA

MSHAMBULIAJI mpya wa KMC, Salim Aiyee ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa msimu ujao atatacheka na nyavu mpaka achoke.

Aiyee akiwa Mwadui FC alitupia jumla ya mabao 18 kwenye ligi kuu msimu wa 2018/19.

“Nimetua KMC kufanya kazi maalumu ambayo naipenda, msimu ujao nitafunga mengi zaidi ya niliyofunga Mwadui FC, sapoti na ushirikiano ni jambo la msingi,” amesema.

SOMA NA HII  Ni 5-3-2 pekee itakayo ‘inusuru’ Stars na ‘dhoruba’ la Senegal