Home Uncategorized SIMBA YAZIFIKIRIA WAYDAD CASSABLANCA, MAZEMBE NA ESPERANCE, YANGA YAENGULIWA

SIMBA YAZIFIKIRIA WAYDAD CASSABLANCA, MAZEMBE NA ESPERANCE, YANGA YAENGULIWA


Baada ya kupata saini ya Mbrazil Wilker Henrique da Silva, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa wanazifikiria klabu kubwa kama Waydad Cassablanca, TP Mazembe na Esperance ambazo wanastahili kushindana nazo na si Yanga.

Hii ni kwa mujibu alichokiandika Manara kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.


SOMA NA HII  BREAKING:CHIRWA AMALIZANA NA AZAM FC, DILI LAKE KUTUA YANGA LABUMA