Home Uncategorized SINGIDA UNITED YASAJILI MAJEMBE MAWILI

SINGIDA UNITED YASAJILI MAJEMBE MAWILI

KLABU ya Singida United leo imeanza rasmi usajili wake kuelekea msimu ujao kwa kuwasajili majembe mawili.

 Beki wa kushoto, Salum Marcelo ambaye alikuwa akitumikia Malindi FC na mshambuliaji, Herman Frimpong kutoka Ghana wamesaini kandarasi ya miaka mitatu.

Ofisa Habari wa Singida United Cales Katemana amesema kuwa wataanza kambi rasmi Julai Mosi mwaka huu.

SOMA NA HII  KOCHA YANGA: NINAJUA UJANJA WA WACHEZAJI WA AFRIKA, WATAKAOZEMBEA MAZOEZI YANGU NITAWAJUA