Home Uncategorized VANESSA ATHIBITISHA KUACHANA NA JUX

VANESSA ATHIBITISHA KUACHANA NA JUX


Mwanamuziki anaefanya vizuri na ngoma ”Thats For Me”  Vanessa Mdee leo Kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye instastory  amethibitisha rasmi kuachana na aliekua mpezi wake ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Juma Jux.


Vanessa amethibitisha ilo baada ya kutoa nafasi kwa mashabiki zake wa instagram kumuuliza maswali hata ” wewe na juma mmeachana??” shabiki  aliuliza swali  Vanessa alijibu swali ilo aliloulizwa kwa kusema Wamebaki kuwa marafiki tu, yeye na juma jux.

Kwenye suala la mapenzi, wawili hao walikuwa wakifuatiliwa sana na mashabiki wao na pale inapotokea dosari tu, mashabiki hao hushtuka na kutokuamini, lakini baada ya muda husikia mambo ni shwari na maisha yanaendelea lakini kwa sasa imekuwa ni tofauti.

SOMA NA HII  AZAM FC KAZINI LEO DHIDI YA FOUNTAIN GATE