Home Uncategorized WACHEZAJI SABA WA SIMBA WANAOPEWA NAFASI YA KUSEPA MSIMU UJAO

WACHEZAJI SABA WA SIMBA WANAOPEWA NAFASI YA KUSEPA MSIMU UJAO


IMEELEZWA kuwa kwa sasa kikosi cha Simba kinafanya usajili wa kimyakimya na mpango wake mkubwa ni kufanya maboresho kwenye kikosi chao kwenye michuano ya kimataifa.

Mpaka sasa ni wachezaji wawili tu ambao wameongezewa mkataba kwenye kikosi hicho ambao ni John Bocco na Aishi Manula huku wengine mipango yao ikiwa ni ya siri.

Ripoti ya Kocha Mkuu, Patrick Aussems kwa sasa ndiyo inafanyiwa kazi ambapo imeelezwa kuwa wachezaji wenye nafasi ndogo ya kubaki ndani ya kikosi hicho ni pamoja na:-

Asante Kwasi

Zana Coulibaly 

Nicholas Gyan 

Juuko Murshid

Adam Salamba

Emmanuel Okwi

SOMA NA HII  MANULA:TUTAFANYA VIZURI KIMATAIFA