YANGA imesajili wachezaji saba wa kigeni ambao ni mabeki, Lamine Moro (Ghana) na Mustapha Selemani (Burundi).
Washambuliaji, Sadney Ukhob (Benin), Issa Bigirimana (Burundi), Patrick Sibomana (Rwanda), Juma Balinya (Uganda) na Kalengo Maybin (Zambia).