Yanga imezidi kuboresha makali ya kikosi chake kuelekea msimu ujao kwa kukamilisha usajili wa mchezaji Mapinduzi Balama kutoka Alliance Schools ya Mwanza kwa mkataba wa miaka mitatu.