Home Uncategorized ABDI BANDA AACHANA NA BAROKA FC

ABDI BANDA AACHANA NA BAROKA FC


ABDI Banda beki wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga soka la kulipwa Baroka FC ya Afrika Kusini amewaaga mashabiki wake na timu.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Banda ameandika namna hii:-“Nina kila sababu za kuwashukuru wachezaji wenzangu, viongozi na mashabiki kwa sapoti yote kubwa ndani ya Baroka FC.

“Muda ukifika nitataja wapi nitakuwa msimu ujao kwani nilikuwa nina miaka miwili mizuri ndani ya timu, asanten kwa sapoti,” amesema.

SOMA NA HII  TRAORE AMALIZANA NA ASTON VILLA