Home Uncategorized ABDI BANDA WA BAROKA FC AONGEZA FURAHA KWA SIMBA

ABDI BANDA WA BAROKA FC AONGEZA FURAHA KWA SIMBA

BEKI wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anakipiga timu ya FC Baroka ya Afrika Kusini leo amekutana na wachezaji wa Simba pamoja na viongozi ambao wametua timu Afrika Kusini kuweka kambi.

Beki huyo ameongeza furaha kwa wachezaji na viongozi wa Simba baada ya kuonana na kupiga picha ya kumbukumbu

Simba imeamua kuweka kambi ya muda wa wiki mbili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23 na mchezo wa kwanza itamenyana na JKT Tanzania.

SOMA NA HII  VIDEO:MORRISON AJIFUNGIA NDANI, BEKI MTANZANIA ASHINDWA KURUDI BONGO, KISA CORONA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here