Home Uncategorized AZAM FC WALIFUATA KOMBE LAO RWANDA LEO

AZAM FC WALIFUATA KOMBE LAO RWANDA LEO

MABINGWA watetezi wa kombe  la Kagame Azam FC leo wameelekea nchini Rwanda na ndege ya Shirika la RwandaAir, ili kutetea taji lao.

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Rwanda kuanzia Julai 6-21 mwaka huu.


 Azam FC itamenyana na KCCA ya Uganda, Mukura ya Rwanda na Bandari ya Kenya. 

SOMA NA HII  ABDI BANDA WA BAROKA FC AONGEZA FURAHA KWA SIMBA