Home Uncategorized BREAKING: MZEE KILOMONI AKAMATWA WAKATI AKIFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

BREAKING: MZEE KILOMONI AKAMATWA WAKATI AKIFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI


POLISI wamezuia mkutano ambao ulipaswa ufanyike leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa klabu ya Simba, Hamis Kilomoni.


Mkutano huo ulipangwa kufanyika majira ya saa 5:00 asubuhi nyumbani kwa Mzee Kilomoni, (Block 41 pembeni ya Shule ya Msingi Kumbukumbu).

Tayari Mzee Kilomoni alikuwa amejiandaa kuongea pamoja na waandishi wa Habari za Michezo kabla ya Polisi kuingia na kumuomba aelekee kituoni kwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
SOMA NA HII  KAGERA SUGAR: TUNABAKI TPL, TABU IPO PALEPALE