Home Uncategorized DIDA AAMUA KUFUNGUKA ALIVYOTEMWA NA SIMBA, AMTAJA MANULA – VIDEO

DIDA AAMUA KUFUNGUKA ALIVYOTEMWA NA SIMBA, AMTAJA MANULA – VIDEO


Aliyekuwa kipa namba mbili wa kikosi cha Simba, Deogratius Munishi ;DIDA’, amefunguka kutokuwepo katika kikosi cha Simba huku Kocha Patrick Aussems akiwa bado anamuhitaji katika kikosi hicho.

Munishi amesema kuwa hana tofauti kati yake na kia Aishi Manula kiwango kilekile.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI