Home Uncategorized FRED MINZIRO AKUNJA JAMVI NDANI YA SINGIDA UNITED

FRED MINZIRO AKUNJA JAMVI NDANI YA SINGIDA UNITED



FRED Minziro aliyekuwa Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa kwa sasa yupo huru kujiunga na timu yoyote baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya Singida United.


Minziro amesema kuwa mpaka sasa hajazungumza na mabosi wake wa Singida United juu ya kuboresha mkataba wake.

“Mimi nimemaliza kazi yangu ndani ya Singida United na mpaka sasa bado sijaitwa mezani kuzungumza nao hivyo nipo huru kujiunga na timu yoyote, kama Singida United watanifuata sina mashaka ya kuzungumza nao,” amesema Minziro.
SOMA NA HII  AISHI MAULA ALIKUBALI BAO ALILOFUNGWA NA MORRISON UWANJA WA TAIFA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here