Home Uncategorized MISRI YATUPWA NJE AFCON KWA KUCHAPWA BAO 1-0 NA AFRIKA KUSINI, LORCH...

MISRI YATUPWA NJE AFCON KWA KUCHAPWA BAO 1-0 NA AFRIKA KUSINI, LORCH APELEKA MSIBA


Game ya AFCON hatua ya 16 bora imekwisha na wenyeji Misri wanatupwa nje ya mashindano kwa bao 1-0 huku Afrika Kusini wakisonga mbele kwenye hatua ya robo fainali.

Bao pekee la Afrika Kusini limefungwa na Thembinkosi Lorch mnamo dakika ya 85 ya kipindi cha pili.

Misri sasa wanaungana na timu za Cameroon ambao nao leo wamekubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa miamba Nigeria.

SOMA NA HII  NYOTA MPYA WA RUVU SHOOTING, DACOSTA AANZA NA MAJANGA