Home Uncategorized MO SALAH NA SAMATTA KUWATAZAMA WABABE HAWA WALIOTINGA ROBO FAINALI

MO SALAH NA SAMATTA KUWATAZAMA WABABE HAWA WALIOTINGA ROBO FAINALI


BAADA ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kilicho chini ya nahodha Mbwana Samatta kufungasha virago kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri na wenyeji pia Misri wakiongozwa na mshambuliaji wao Mohamed Salah kufungashiwa virago watawatazama hawa hapa waliotinga hatua ya robo fainali:-


Julai 10

Benin v Senegal

Nigeria v Afrika Kusini

Julai 11

Algeria v Ivory Coast

Madagascar v Tunisia

SOMA NA HII  BREAKING:KABLA YA KUWAVAA SIMBA, AZAM FC YAMUONDOA KIONGOZI WAO MMOJA