Abdalah Shaibu ‘Ninja’ amesaini kandarasi ya miaka minne akitokea timu ya Yanga kuitumikia timu ya MKF Vyskov ya Jamhuri ya Czech.
Timu hiyo imemtoa kwa mkopo wa mwaka mmoja kwenda LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani maarufu kama Major League.