Home Uncategorized NYOTA WA SIMBA NA YANGA AJIUNGA NA TIMU YA PRO LINE

NYOTA WA SIMBA NA YANGA AJIUNGA NA TIMU YA PRO LINE


HAMIS Kiiza nyota wa zamani wa klabu zote mbili kubwa zenye maskani yake Kariakoo, Simba na Yanga amejiunga na timu ya Pro Line.

Timu hiyo ya Uganda ni mabingwa wa kombe la Shiikisho kwa msimu uliopita na itashiriki Ligi Kuu ya Uganda msimu ujao.

Kabla ya kujiunga na timu hiyo Kiiza alikuwa anaitumikia timu ya Vipers FC.

SOMA NA HII  MAGURI UNGANA NA KESSY ZAMBIA