Home Uncategorized SIMBA DAY SASA NI AGOSTI 6, KUCHEZA NA MABINGWA WA ZAMBIA

SIMBA DAY SASA NI AGOSTI 6, KUCHEZA NA MABINGWA WA ZAMBIA

MABINGWA mara sita wa Ligi Kuu ya Zambia na washindi wa Kombe la Washindi Afrika mwaka 1991 Klabu ya Super Dynoms FC itamenyana na Simba siku ya Simba Day.

Simba Day ambalo ni tamasha maalumu kwa ajili ya kutambulisha wachezaji wapya pamoja na jezi itafanyika Julai 8 mwaka huu uwanja wa Taifa majira ya saa 11:30 joni.

Wiki ya Simba Day itaanza Agosti 1 mwaka huu na kilele takuwa Agosti 6 mwaka huu.  

SOMA NA HII  SIMBA KUWAFUATA WAZIMBABWE LEO, WATATU WAACHWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here