Home Uncategorized AZAM FC LEO KUTESTI MITAMBO NA MASHINE HIZI MPYA KALI KINOMA

AZAM FC LEO KUTESTI MITAMBO NA MASHINE HIZI MPYA KALI KINOMA

KIKOSI cha Azam FC leo kitajaribu mitambo yake mipya mbele ya kikosi cha Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki.

Mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani wa kipekee utapigwa majira ya saa 1:00 usikuwa uwanja wa Chamazi.

Azam FC itatumia mchezo wake huo kuandaa majembe yake kwa ajili ya mchezo wake wa kimataifa dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia huku Polisi Tanzania ikijiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao.

 Majembe mapya kwa Azam FC yatakayotumika leo ni pamoja na Richard Djodi wa Ivory Coast,Seleman Ndikumana, Kassim Khamis na Emmanuel Mvuyekure.

SOMA NA HII  NAMUNGO WATUSUA KIMATAIFA,NGOMA UGENINI YAWA 3-3