Home Uncategorized AZAM FC YAPANIA KUMALIZA BIASHARA UWANJA WA CHAMAZI JUMLAJUMLA

AZAM FC YAPANIA KUMALIZA BIASHARA UWANJA WA CHAMAZI JUMLAJUMLA


LEO Azam FC wana kazi moja tu mbele ya Fasil Kenema ya Ethiopia kutafuta ushindi wa mapema.

Huu ni mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho baada ya ule wa awali nchini Ethiopia kupoteza kwa kufungwa bao 1-0.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema wapo tayari kwa ajili ya kutoa burudani.

“Tuko tayari kwa mapambano dhidi ya Fasil Kenema leo uwanja wetu wa machinjio, mashabiki wetu na Watanzania kiujumla tunahitaji sapoti yenu ya kutosha.

“Tuna imani ya kufanya vema na kupata matokeo chanya ni muda wa kusubiri hasa tukiwa nyumbani uwezo wa kushinda tunao,” amesema. 

SOMA NA HII  HUYU HAPA AMESHIKILIA PANGA LA KUWAPIGA CHINI WACHEZAJI SIMBA NA KULETA MASHINE MPYA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here