Home Uncategorized BENETEZ KIBOKO YA GARETH BALE, CHEKI REKODI YAKE NDANI YA REAL MADRID

BENETEZ KIBOKO YA GARETH BALE, CHEKI REKODI YAKE NDANI YA REAL MADRID


GARETH Bale akiwa ndani ya Real Madrid na mabosi zake tofauti kwa misimu tofauti alikuwa namna hii kwa upande wa rekodi zake za kucheza:-

 Msimu wa mwaka 2013/15 alikuwa chini ya Carlo Ancelotti amecheza jumla ya mechi 92 sawa na asilimia 77 huku akianza kwenye jumla ya mechi 82 sawa na asilimia 69.

Msimu wa mwaka 2015/16 chini ya Rafa Benetez amecheza jumla ya mechi 15, sawa na asilimia 60 huku akianza kwenye mechi 14 sawa na asilimia 56.

Msimu wa mwaka 2018/19 chini ya Santiago Solari amecheza mechi 22 sawa na asilimia 69 huku akianza kwenye jumla ya mechi 13 sawa na asilimia 41.

Msimu wa mwaka 2016/18/19 chini ya Zinedine Zidane amecheza jumla ya mechi 90 sawa na asilimia 56 ameanza jumla ya mechi 70 sawa na asilimia 44.

SOMA NA HII  SASA MBABE AANZA KUMWAGA TAMBO, MCHINA AMPA KIBURI