Home Uncategorized IKIBAINIKA KWELI, R KELLY KUFUNGWA MIAKA 195

IKIBAINIKA KWELI, R KELLY KUFUNGWA MIAKA 195


MSANII nguli duniani wa miondoko ya R N B, R. Kelly anayekabiliwa na mshitaka 13 ya unyanyasaji wa kingono huenda akafungwa miaka 195 endapo atapatikana na hatia.

R . Kelly anatarajia kupandishwa kizimbani tena Septemba 14, baada ya siku jana kusomewa mashitaka hayo 13 yakiwemo kunyanyasa, kudhalilisha, na kushambulia wanawake kingono pamoja na kuwarekodi watoto wadogo picha zisizokuwa na maadili.

SOMA NA HII  SHAHIDI AANIKA MAZITO KESI YA ALIYEKUWA RAIS SIMBA SC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here