Home Uncategorized MAGURI UNGANA NA KESSY ZAMBIA

MAGURI UNGANA NA KESSY ZAMBIA


Mshambuliaji kutoka Elias Maguri amejiunga na klabu ya Nakambala Leopards FC inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia.

Maguri amejiunga na Nakambala kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea klabu ya KMC ya Dar.

Ikumbukwe Maguri aliwahi kuichezea klabu ya Simba miaka kadhaa nyuma lakini baadaye aliachwa na kutimkia uarabuni na baadaye akarejea Tanzania kuichezea KMC.

SOMA NA HII  NAMNA DSTV WALIVYOFYEKA VIFURUSHI NA KUPUNGUZA BEI, SASA EPL NI MCHEKEA KINOMAAA