Home Uncategorized NAMNA LIVERPOOL ILIVYOTWAA NDOO SUPER CUP BILA ALISSON BECKER

NAMNA LIVERPOOL ILIVYOTWAA NDOO SUPER CUP BILA ALISSON BECKER


TIMU  ya Liverpool usiku wa kuamkia leo Agosti 15, 2019,  katika Uwanja wa Vodafone mjini Instanbul nchini Uturuki imefunga timu ya Chelsea kwa mikwaju ya penalti baada ya sare ya kufungana magoli 2-2.

Magoli ya Liverpool yalifungwa na Sadio Mane dakika ya 48 na 95 huku ya Chelsea yakifungwa na Oliver Giroud dakika ya 36 na Jorginho kwa mkwaju wa penati dakika ya 101 na Liverpool kuibuka na ushindi wa penati 5-4 na kutwaa ubingwa wa UEFA Super Cup.


Fainali  hiyo hukutanisha Bingwa wa UEFA Europa League ambaye ni Chelsea dhidi ya Bingwa wa UEFA Champions League ambaye ni Liverpool.

Chelsea wakiwa chini ya kocha wao mpya Frank Lampard, wameendelea kuondoka uwanjani vichwa chini baada ya kupoteza mchezo wao wa pili mfululizo, baada ya kufungwa na Man United 4-0.


MATCH FACTS

LIVERPOOL: (4-3-3) Adrian 5, Gomez 6, Matip 5, Van Dijk 7, Robertson 6 (Alexander-Arnold 90, 6), Milner 6 (Wijnaldum 64, 6.5), Fabinho 6.5, Henderson 6, Oxlade-Chamberlain 6 (Firmino 46, 7), Salah 6.5, Mane 8.5 (Origi 103).

SUBS NOT USED: Lonergan, Lallana, Shaqiri, Brewster, Hoever, Elliott, Kelleher.

GOALS: Mane 48, 95

BOOKINGS: Henderson, Alexander-Arnold

COACH: Jurgen Klopp 7

CHELSEA: (4-3-3) Arrizabalaga 7.5, Azpilicueta 6, Zouma 6.5, Christensen 6.5 (Tomori 85, 6.5), Emerson Palmieri 7, Jorginho 7, Kante 8.5, Kovacic 6.5 (Barkley 101), Pulisic 8 (Mount 74, 6), Giroud 7 (Abraham 74, 6), Pedro 7.5.

SUBS NOT USED: Caballero, Rudiger, Alonso, Willian, Kenedy, Zappacosta, Batshuayi, Gilmour.

GOALS: Giroud 36, Jorginho 101 (pen)

BOOKINGS: Azpilicueta

COACH: Frank Lampard 6.5

REFEREE: Stephanie Frappart 6.5

VENUE: Vodafone Arena, Istanbul

SOMA NA HII  NAFASI YA HAJI MANARA SIMBA YAGOMBEWA KWA KASI YA KUTISHA