Home Uncategorized NYOTA WATATU WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC KESHO TAIFA

NYOTA WATATU WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC KESHO TAIFA


KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa ngao ya jamii kati ya Simba na Azam FC uwanja wa Taifa kikosi cha Simba kitawakosa nyota wake watatu wa kikosi cha kwanza.

Wachezaji hao ni mlinda mlango Aishi Manula, kiungo Ibrrahim Ajib na mbrazil Wilker da Silver ambao wanasumbuliwa na majeruhi.

Mchezo huo unawakutanisha mabingwa wawili ambapo Simba ni bingwa wa Ligi Kuu Bara na Azam FC ni bingwa wa kombe a Shirikisho.

SOMA NA HII  OZIL KIUNGO FUNDI WA ARSENAL AJITOA KWA AJILI YA JAMII