Home Uncategorized YANGA NI BALAA, YAIKIMBIZA SIMBA NA AZAM KINOMA

YANGA NI BALAA, YAIKIMBIZA SIMBA NA AZAM KINOMA


TANGU mwaka 2001 ambapo mechi za Ngao ya jamii zilianza kuchezea hapa nchini tayari zimechezwa mechi 11.

Yanga inaoongoza Kwa kucheza mechi nyingi ambazo ni nane na kuikimbiza Azam FC ambayo imecheza jumla ya michezo tano.

Pia imetwaa mataji mengi ambayo ni matano, Simba imetwaa mara nne, Azam FC Mtibwa zimeshinda mojamoja.


Yanga ni wababe wa kutwa taji la ngao ya jamii kwa sasa rekodi ambayo inawapasua kichwa Simba kwa sasa wakihaha kuivunja leo.

SOMA NA HII  SIMBA YAKUBALI MAJEMBE YA KAZI YA YANGA