Home Uncategorized YANGA WAENDELEA NA SPOTIPESA WIKI YA MWANANCHI

YANGA WAENDELEA NA SPOTIPESA WIKI YA MWANANCHI


MASHABIKI wa Yanga wa mkaoni Njombe wamendelea na wiki ya SportiPesaWikiYaMwanachi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.

Licha ya baridi kali ya mkoani Njombe, haikuweza kuwazuia Wanayanga kwa kuwatembelea watoto wenye uhitaji na kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.

Wiki ya Mwananchi kilele chake ni kesho uwanja wa Taifa ambapo mbali na kucheza na Kariobangi Sharks watatambulisha jezi mpya na wachezaji.

SOMA NA HII  ANGALIA NAMNA SIMBA, YANGA WASIVYOJUA FAIDA YA WATU 60,000

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here