Home Uncategorized LIVE: BURUNDI 0-0 TANZANIA

LIVE: BURUNDI 0-0 TANZANIA


MCHEZO kwa sasa unaondelea nchini Burundi kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar kati ya Burundi na Tanzania ni kipindi cha kwanza.

Hakuna timu iliyoona lango la mpinzani kwa sasa timu zote zinapambana kutafuta matokeo.

SOMA NA HII  WAWILI WA SIMBA KUPIGWA CHINI JUMLAJUMLA