Home Uncategorized BRUNO FERNANDES AZICHANGANYA UNITED, CITY NA CHELSEA

BRUNO FERNANDES AZICHANGANYA UNITED, CITY NA CHELSEA


IMEELEZWA kuwa Ole Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United anampigia hesabu nyota wa Sporting Lisbon, Bruno Fernandes.

Baada ya dirisha dogo kufunguliwa mwezi Januari, mchezaji huyo amekuwa akitajwa sana kutua ndani ya United kwa sasa.

Inaelezwa kuwa nyota huyo anatajwa kuwa mbadala wa kiungo wake Paul Pogba ambaye ambaye anasumbuliwa na majeraha kwa sasa.

Hata hivyo ugumu wa kumpata nyota huyo unaongezwa na watani wao Mancheter City na Chelsea ambao nao wanatajwa kuiwania saini ya nyota huyo.

SOMA NA HII  WINGA MZAMBIA MAMBO SAFI YANGA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here