Home Uncategorized MASHUJAA WAPANIA KUONYESHA USHUJAA WAKIPANDA LIGI

MASHUJAA WAPANIA KUONYESHA USHUJAA WAKIPANDA LIGI


ATUNGO Manyundo, Kocha Mkuu wa Mashujaa FC ya Kigoma amesema kuwa wataonyesha ushujaa mkubwa endapo watapanda ligi kuu msimu ujao.

 Mashujaa FC ilionyesha ushujaa mbele ya Simba iliyokuwa chini ya Patrick Aussems kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho kwa kuitungua mabao 3-2 na kuiondoa jumla hatua za awali.
Akizungumza na Saleh Jembe, Manyundo alisema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakisuka kikosi makini ambacho kitawapa matokeo bora yatakayowapa nafasi ya kushiriki ligi.
“Kuna ushindani mkubwa Daraja la Kwanza kwa sasa nina amini tutaonyesha ushujaa tukipanda ligi kuu na huko tukipanda hatutabweteka tutaambana kupata matokeo mazuri,” alisema Manyundo.
SOMA NA HII  GREALISH MSHIKAJI WA SAMATTA ANAWINDWA NA MANCHESTER UNITED