Uncategorized

ALLIANCE WATAJA KILICHOWAPONZA WAKACHAPWA MABAO 2-0 MBELE YA YANGA

admin February 29, 2020 10:48 pm


GEOFREY Luseke, beki wa timu ya Alliance amesema kuwa hawakustahili kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wapinzani wao Yanga.

Jana, Februari 29, Alliance ya Mwanza ilikubali kichapo kutoka kwa Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa.

Luseke amesema:’Haikuwa mipango yetu kupoteza mbele ya wapinzani wetu Yanga ila kutokana na wao kutumia makosa yetu basi wameweza kutushinda kwa sasa tunajipanga kwa ajili ya mechi zinazokuja,” .

Alliance FC ipo nafasi ya 13 imejikusanyia pointi 29 kibindoni baada ya kucheza mechi 25.

RUVU SHOOTING WAMPAPASA BOSI WAO WA ZAMANI, CHUMA APELEKWA HOSPITALI YANGA: TUNAIFUNGA SIMBA MACHI 8 MAPEMA TU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply