Home Uncategorized BECKER WA LIVERPOOL AGOMEA KULA BATA, KAZI KAMA KAWA

BECKER WA LIVERPOOL AGOMEA KULA BATA, KAZI KAMA KAWA


ALISSON Becker raia wa Brazil mlinda nyavu za Liverpool amegomea kula bata wakati wa mapumziko na badala yake anaendelea kufanya mazoezi kujiweka fiti.

Mlinda mlango huyo ana jumla ya Clean Sheet 30 tangu aanze kuitumikia timu ya Liverpool.

Wakati huu wa mapumziko anaendelea kupiga tizi na timu ya Fluminense ya Brazil.

Inaelezwa kuwa kila siku anaonekana mazoezini kwenye timu hiyo akiwa na kakaye Muriel ambaye anaidakika timu ya Rio De Janeiro ya Ligi Kuu ya Brazil.

Mastaa wenzake wa Liverpool wengine wamekwenda Dubai kula bata.

SOMA NA HII  SARAKASI ZA USAJILI KWA BONGO HUWA NI PASUA KICHWA ANAYESEPA HUWA BORA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here