Home Uncategorized HIVI HAPA VIGONGO VITANO VIKALI KWA YANGA FEBRUARI, EYMAEL ATOA NENO

HIVI HAPA VIGONGO VITANO VIKALI KWA YANGA FEBRUARI, EYMAEL ATOA NENO


YANGA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael ina kazi ngumu ya kuzitumia mechi nne sawa na dakika 450 ndani ya mwezi Februari.

Leo itanzaa kumega dakika 90 za mwanzo mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu Utakaochezwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 usiku.

Eymael amesema kuwa kwa namna ratiba ilivyo kikosi chake kina kazi ngumu ya kufanya kupata matokeo mazuri.

Mechi zake nyingine zipo namna hii

Yanga v Prisons saa 1:00 usiku, 15 Februari, Taifa.

Polisi Tanzania v Yanga, Ushirika,Moshi.

Coastal Union v Yanga, 22 Febuari, Mkwakwani, Tanga.


Yanga v Gwambina,Februari 24/26 Kombe la Shirikisho.

SOMA NA HII  VPL: AZAM FC 1-0 SIMBA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here