Home Uncategorized HIZI HAPA DAKIKA 270 ZA MOTO KWA SIMBA KABLA YA KUINGIA MIKONONI...

HIZI HAPA DAKIKA 270 ZA MOTO KWA SIMBA KABLA YA KUINGIA MIKONONI MWA YANGA


MCHEZO wa kwanza uliochezwa, Januari 4,2020 Uwanja wa Taifa Simba ililazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na kuwafanya wagawane pointi mojamoja.

Zitakutana tena Machi 8,2020 Uwanja wa Taifa mchezo unaosubiriwa kwa shauku huku Simba iliyo chini ya Sven Vandenbroeck ikiwa imbekiza mechi tatu sawa na dakika 270.
Februari 22 itakuwa Uwanja wa Taifa kwenye mchezo dhidi ya Biashara United utakaochezwa, ikiwa na kumbukumbu ya kushinda mabao 2-0 mchezo wa kwanza.
.
Machi 1, Simba itamenyana na KMC, Uwanja wa Taifa mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 2-0 na kigongo cha mwisho itakuwa mbele ya Azam FC, Machi 4 Uwanja wa Taifa, Simba ilishinda kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kwanza.
Baada ya kukamilisha dakika 270 Simba itaibukia mikononi mwa Yanga mchezo utakaochezawa Uwanja wa Taifa, Machi 8.
SOMA NA HII  BEKI TEGEMEO NDANI YA KIKOSI CHA AZAM FC ASAMEHE WAPANGAJI WAKE KODI