Home Uncategorized HUYU MWAMBA CIRO NI BALAA NDANI YA SERIA A

HUYU MWAMBA CIRO NI BALAA NDANI YA SERIA A


CIRO Immobile anayekipiga ndani ya Serie A, Ligi Kuu ya Italia amefunga jumla ya mabao 26 ndani akiwa ni kinara kwa utupiaji kwenye ligi hiyo.

Immobile anayekipiga kwenye Klabu ya Lazio bao lake la 26 aliwafunga Inter Milan kwa mkwaju wa penalti.

Amecheza dakika 2,012 ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika ya 77 na ana asisiti sita zilizoleta mabao ndani ya timu yake.

Timu yake ipo nafasi ya pil kwenye msimamo ikiwa na pointi 56 baada ya kucheza mechi 24.

Kinara ni Juventus aliyecheza pia mechi 24 na kibindoni ana pointi 57.

SOMA NA HII  LIGI YA MABINGWA AFRIKA NI BALAA TUPU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here