Home Uncategorized MSIMAMO WA AZAM FC HUU HAPA NDANI YA LIGI KUU

MSIMAMO WA AZAM FC HUU HAPA NDANI YA LIGI KUU


IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa timu bado haijakata tamaa itaendelea kupambana ili kufikia malengo yake.

Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema:”Mchezo wa mpira haupaswi kukata tamaa ni lazima kutazama makosa ambayo yanatokea na kuyafanyia kazi ili uwe bora.

“Ushindani ni mkubwa na wachezaji wanapambana licha ya kushindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi zetu zilizopita mbii bado tupo,”.

Azam FC nyanda za juu Kusini imeambulia pointi moja kati ya sita ilizokuwa inasaka, imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Ndanda FC na kufungwa bao 1-0 mbele ya Namungo FC.

SOMA NA HII  MSERBIA WA YANGA APEWA MAJUKUMU MAZITO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here