Home Uncategorized YANGA YAKUTANA NA RUNGU HILI KUTOKA TFF

YANGA YAKUTANA NA RUNGU HILI KUTOKA TFF

TIMU ya Yanga imetozwa faini ya Tsh 500,000 (laki tano) kwa kosa la timu hiyo kushindwa kuwasilisha fomu ya
wachezaji wao kwenye Pre match meeting ya mchezo uliofanyika Februari 15, 2020 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Adhabu hiyo imetolewa kwa uzingativu wa kanuni ya 14(3) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.


Mchezo huo ulikamilika kwa Yanga kulazimisha sare ya bila kufungana.

SOMA NA HII  MBELGIJI WA YANGA AKUBALI UWEZO WA JEMBE JIPYA LINALOWINDWA NA YANGA