Home Uncategorized ALLIANCE FC YAMUWEKA PEMBENI KOCHA MKUU MINZIRO

ALLIANCE FC YAMUWEKA PEMBENI KOCHA MKUU MINZIRO

Habari za Michezo leo


UONGOZI wa Alliance FC umesema kuwa umeamua kumuweka pembeni kwa muda Kocha Mkuu wa timu hiyo Felix Minziro ili kutibu majeraha yake ya mguu aliyoyapata.

Alliance FC ya Mwanza ipo nafasi ya 18 kwenye msimamo ikiwa na pointi 29 baada ya kucheza mechi 29 za Ligi Kuu Bara.

Yusuph Budodi, Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi wa Alliance amesema kuwa wameamua kumpa mapumziko Minziro.

“Tumeamua kumpa mapumziko Kocha Mkuu Minziro kutokana na kuumia mguu wa kulia alipopata ajali atakapokuwa vizuri atarejea kuendelea na kazi,” amesema.

SOMA NA HII  TIMO WERNER AKUBALI KUIBUKA CHELSEA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here