Home Uncategorized BREAKING: LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA YASIMAMISHWA KWA MUDA

BREAKING: LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA YASIMAMISHWA KWA MUDA

LIGI Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi ya Wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko ya watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali.

Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kupambana na ugonjwa wa Corona.

SOMA NA HII  COASTAL UNION YATAJA KILICHOWAPONZA KUPOTEZA MBELE YA SIMBA, TAIFA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here