Home Uncategorized SAMATA AMEWAVURUGA WAZUNGU HUKO MPAKA GUARDIOLA

SAMATA AMEWAVURUGA WAZUNGU HUKO MPAKA GUARDIOLA


PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester Ciy amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa na moyo wa kutafuta mafanikio kila wawapo ndani ya uwanja.

Guardiola ameshinda taji la Kombe la Carabao kwa ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Aston Villa anakokipiga mtanzania Mbwana Samatta.

Guardiola amesema kuwa ametazama namna ushindani ulivyokuwa hakutarajia kuiona Aston Villa ikiwa imechangamka.

Kwenye mchezo huo Samatta aliweka rekodi ya kuitungua City ya Guardiola kwa kichwa kimoja matata kilichowashangaza wazungu.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI