Home Uncategorized SIMBA YAIPOTEZA KCM KWA MABAO 2-0 UWANJA WA TAIFA, LUIS AFANYA YAKE

SIMBA YAIPOTEZA KCM KWA MABAO 2-0 UWANJA WA TAIFA, LUIS AFANYA YAKE


LUIS Miquissone leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kupachika kimiani mabao mawili yote wakati wakiilaza KMC kwa mabao 2-0 Uwanja wa Taifa.

Mchezo wa leo,Machi Mosi ulikuwa na ushindani kwani dakika 45 za mwanzo ngoma ilikuwa droo.

Mabao ya  Luis yamefungwa dakika ya 70 na 72 yanaifanya Simba ijikite kileleni ikiwa na point 64 imecheza mechi 25.

SOMA NA HII  SAINI YA SUREBOY YANGA BADO NI PASUA KICHWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here